Online Instagram Content ViewerStalkture
  1. Homepage
  2. storynzuriiplanet_com

#storynzuriiplanet_com hashtag

Posts attached with hashtag: #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "MAPIGO YA MOYO 19

Walitafuta jina la Neila na baada ya kumuona alicheka.
“sio mbaya lakini, ameshika nafasi ya 6.” Alio" at Dar es Salaam, Tanzania - 1841535295751567754

MAPIGO YA MOYO 19 Walitafuta jina la Neila na baada ya kumuona alicheka. “sio mbaya lakini, ameshika nafasi ya 6.” Aliongea kwa Dharau baada ya kuona kampita masomo yote tena kwa point nyingi. “hongera, umekuwa mtu wa 6.” Aliongea Frank baada ya kumuona Neila amejiinamia. Neila alinyanyuka akiwa na sura nyingine tofauti na ile aliyoizoea. Hali iliyomfanya Frank ashangae. “ hapa shuleni kila mtu ameletwa na mzazi wake, so matokeo yangu hayakuhusu. Ni nani amekuambia alikua anahitaji umuangalizie matokeo yake?.. kuongoza mitihani isiwe shida kwa wengine. Siku nyingi sana nilikua siipendi tabia yako ya kujisikia ndio maana nikakwambia ufute yako. Nikafikiri umejirekebisha kumbe ndio tabia uliyozaliwa nayo. Unafikiri sijakusikia ulipokuwa unajitamba eti nilifikiri nimepata mpinzani kumbe yule dada boya tu… acha shobo mtotoo wa kiume, fuata yako halafu tusijuane coz tumekutana chuoni tu hapa.” Maneno yale ambayo yalisika na umati mkubwa waliokuwa pale kutokana na Neila kuongea kwa nguvu, ndio kulikomfanya aumie sana rahoni na kupata aibu kubwa. Furaha yote aliyokuwa nayo juu ya kufaulu vizuri iliyeyuka kama barafu kwenye jua kali. Aliulaumu sana mdomo wake kwa kuropoka mambo ambayo yangemshusha maksi kwa Neila. Tukio hilo lilimkosesha raha Frank. Hakupenda kumchukiza Neila hata kidogo. Alijua kuwa kumuuzi binti huyo ni sawa na kujipa adhabu kali inayomuumiza mwenyewe. Urafiki ukafa kinamna hiyo. Hakukua na salamu wala maongezi yoyote kati yao. Awapo Frank sehemu yoyote, basi Neila hakusogeza miguu yake pale. Na hata kama Neila alikua anapiga story na watu mbali mbali, basi akija tu Frank yeye huondoka eneo hilo. Unyonge mkubwa ulimpata Frank na kujiona kuna kitu anakosa kutoka katika maisha yake. Alijiridhisha kwa kuwachukua marafiki wa karibu wa Neila na kutembea nao. Hiyo ndio ilizidi kumpunguzia maksi Frank na kuzidi kuchukiwa na Neila. Uwezo wake wa kusakata kabumbu ulipungua kiwango siku hadi siku. Kuna wakati hakua msaada kabisa kwa timu yao ya chuo. Kocha wao alimuita na kumuuliza ni nini tatizo. #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "MAPIGO YA MOYO 17

Siku zilikatika bila Lulu kuonana na Frank mpaka siku ambayo Frank alikua anarudi tena chuo.
“wewe mw" at Dar es Salaam, Tanzania - 1841211612126414677

MAPIGO YA MOYO 17 Siku zilikatika bila Lulu kuonana na Frank mpaka siku ambayo Frank alikua anarudi tena chuo. “wewe mwanamke, huchoki wala huelewi ukiambiwa kitu. Sikupendi na sikuhitaji hata bure katika maisha yangu. Niseme na kitu gani ndio unielewe?” aliongea Frank baada ya kumuona Lulu akimfata wakati alipokuwa ana paki mabegi yake kwenye gari. “Frank, najua hujui mazito yanayonikabili ndani ya mtima wangu. Kila kilichokuwa kwenye mwili wangu nilikupa password zake na ulizifungua utakavyo. Nimekupa mpaka uhuru wa kuingia kwenye ikulu yangu yenye thamani zaidi ya falme za kiarabu. Si mimi Frank ambaye sichoki dharau zako na kukubali kama hunipendi. Tatizo ni moyo Frank. Moyo wangu ndio hausikii wala haoni juu yako. Macho yangu hayaoni kwa wanaume wengine na kukuona wewe tu. Maumivu unayonipa yanapoozwa na sura yako tu ingawaje kauli zako ni mzigo mkubwa uliomulemea kizee jangwani na asiyekuwa na msaada wowote Frank.” Aliongea Lulu huku machozi yanamtoka. “Frank tazama machozi yangu angalau kwa jicho la huruma nipate japo faraja. Kwani idadi ya matone ya machozi yangu hayafanani na uzito wa maumivu ya moyo yanimalizayo mwili kila kukicha. Sihitaji kujua nitakuwa nafasi ya ngapi kati ya uwapendao. Ile kunikaribisha hata nje ya moyo wako nitafarijika. Bora uongo utakaonipa faraja kuliko ukweli utakaoniumiza. Nakupenda Frank zaidi ya niwezavyo kukuelezea.” Maneno ya Lulu yalipita kama upepo masikioni mwa Frank. Alimtazama na kuyapokea maua aliyoletewa na kuingia nayo kwenye gari. “nimekuelewa, nitakujibu nikipata likizo nyingine.” Hayo maneno ya Frank kidogo yalimpa faraja Lulu. Baada ya hapo safari ya kuitafuta ubongo kwa ajili ya safari ya Dodoma kuendelea na masomo yake ilianza. #storynzuriiplanet_com HAPPY BIRTHDAY @deedaylan YOUNG LION @diamondplatnumz@hamisamobetto

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "PENZI LA MATESO 72

Ndio uzur wa si wanaume hata tukosame vipi ila bado likitokea tatizo tupo pamoja. "Huyu atakufa sio " at Dar es Salaam, Tanzania - 1834707765900044049

PENZI LA MATESO 72 Ndio uzur wa si wanaume hata tukosame vipi ila bado likitokea tatizo tupo pamoja. "Huyu atakufa sio bureee ngoja" Haraka alizunguka upande wa pili na kuingia chumban mle alimshika chiku ila ilikua ni kazi ngumu kumfanya atoe mkono wake kuachia dudu ile. Baba sekela aliona anawachezea. Alimnyoosha ngumi moja ya shavu mbona chiku aliachia mwenyewe na kutua pembeni. Meno mawili kuleee dam tu ndizo zilizotawala mdomo wake. Ila bado hakukaa kimya aliinuka na kutaka kumdaka tena mudi ila baba sekela aliwahi kumdaka. "Nawe unashangaa nini vaeni nguo mtoke atawaua huyuu" Ndio aliwashtua na haraka walivaa nguo na kutoka mbio huku mudi akichumbagila kama zombie. Chiku aliparangana na baba sekela pale kuona haachiwi aliamua kuanza kumtemea damu zile zilizokua zinamtoka mdomoni. Baba sekela alimsukuma na kuwahi kutoka kisha alifunga mlango kwa nje. Hiyo ndiyo ikawa njia ya kutuliza ugomvi ule. Anitha na mudi kila Mtu Alikimbikia kwake. Mudi alienda kwa rafiki yake huku anitha akienda nyumbani alikokua anakaa. Baada ya mudi kufika kwa rafiki yake bahati nzuri alimkuta maana bado ilikua ni asubuhi. "We jamaa vipi mbona unatembea kama umetoka kutairi hivi" "We acha tu jamaa yangu" Mudi aliingia ndani na kuvua suruali yake haraka kisha kuangalia usalama wa dudu yake. Ase maumivu yalikua ni makubwa sana aliyokua anayapata. "Mbona ckuelew jamaa yangu umefika na kuanza kuvua suruali tu. Ilibidi mudi bila kuficha amsimulie rafiki yake. "Ohoo mi nilishakwambia kuoa ndio nn si unaona sasa matatizo yake ndio kama haya afu nawe unakosea sana kwa nini utembee na mdogo wake tna humohumo geto na mkeo yupo" Rafiki yake alimsema sana ila mudi hakuona kosa kabisa "Kwani kuna ubaya bwana mi nampenda yule mdogo wake basi" "We nawe ni lijinga LA mwisho haya poa Fanya upendavo we" Rafiki wa mudi aliamua kumuacha tu mudi afanye awezavo "Mi nitakua hapa kwa mda huku nikiwaza LA kufunya tu" Aliamua kujipumzisha kwa rafiki yake ajue afanye nn kama kuyavuruga alishayavuruga. #storynzuriiplanet_com SIMULIZI ZA SAUTI SOON

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 54  Mwandishi: DEUS WA MASTORY

Baada ya anitha kutoka tu chiku aliona hata ndani hakukaliki alia" at Dar es Salaam, Tanzania - 1831934805619497379

Story: PENZI LA MATESO 54 Mwandishi: DEUS WA MASTORY Baada ya anitha kutoka tu chiku aliona hata ndani hakukaliki aliamua kutoka na kukaa nyuma ya nyumba waliyokua wamepanga. Anitha alitoka hadi nyumbani alikokua akikaa. Kufika alimuona Davis akiwa kakaa mlangoni pake. Kwa muonekano tu alionekana katoka kulia mda si mrefu. Anitha alimuangalia na moyoni mwake alisema "Hivi ana akili kweli huyu Analia kisa nini sasa au kwa sababu nilivyomJibu asubuhi hana akili kweli na simpendi hata alie machozi ya damu" Aliongea kimya kimya akiWa kasahau hata yeye alimwaga chozi kwa kuona hampatu mudi. Cku zote asiyekupenda hawezi kua na huruma nawe kabisa unaweza ukamwaga Sera zako mbaka uishiwe cha kuongea na mwisho ukalia sana sn ila ukawa unatwanga maji kwenye kinu tu hawezi kukuelewa kamwe. Davis kumuona anitha aliinuka haraka na kumfuata kabla hajaingia chumbani kwake. "Anitha kwa nini wanitesa hivi jamani kwa nini et amini nakupenda nionee huruma jamani nami Nina moyo kama wengine nateseka kuona nakosa penzi lako" Alibwabwaja wee ila anitha alijibinua mdomo wake kwa ishara kua kamdharau kisha aliingia ndani haraka na kufunga mlango. Nje davis alipatwa na hasira na kuanza kupiga mateke kila kilichokua mbele yake huku akimlaum anitha. Hasira hasara bila kuangalia alipiga tele jiwe moja lililokuwepo pale na kujikuta aking'oa kucha. Chiku akiwa kakaa nyuma ya nyumba. Kuna dada alimsogelea na kuketi karibu yake. Hakua mwingine alikua ni miongoni mwa dada aliyepanga nyumba moja na chiku tena kwa kupakana vyumba. Walisalimiana na baada ya kusalimiana dada yule aliyefahamika kwa jina la mama sekela alianza maswali. "Nakuona kama hauko sawa jirani kwani kuna nini" Chiku hakutaka maongezi alitaka kiinuka aingie ndani ila mama sekela alimdaka "Subiri kwanza unajua kua naweza kukusaidia kwa hilo linalokusumbua" Chiku alitoa macho kusikia anaweza kusaidiwa. "Umejuaje matatizo yangu na unawezaje kunisaidia" "Sikia mwanamke mwenzangu mi nimesikia sana wakati mnabishan Asubuhi nilishaapa siwez kuacha mwanamke mwenzaNgu ateseke kama nilivowahi kuteseka Mimi. #storynzuriiplanet_com @roryatv

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 50
Mwandishi: DEUS WA MASTORY. ....anitha baada ya kusahau funguo kwa dada yake. Alirudi na kukut" at Dar es Salaam - 1830650142531574132

Story: PENZI LA MATESO 50 Mwandishi: DEUS WA MASTORY. ....anitha baada ya kusahau funguo kwa dada yake. Alirudi na kukuta mambo yameshawaka tena kama alivoyakuta asubuhi. Hakukubali alishaapa liwalo na liwe hakukubali aliamua nae kupiga hatua kuingia ndani. Ndani chiku alikua kashabanwa vya kutosha. Si alitaka mwenyewe wacha mudi amuoneshe kazi. Akiwa kambana chiku akimpigilia misumar gafra alihisi kama kuna mtu nyuma yake. Haraka aligeuza kichwa alishtuka kumuona anitha akiwa anataka kuingia. "Nooooo" Aliongea kwa nguvu na kujichomoa haraka mbaka chiku kulalamika kwa kukatishwa utamu. Anitha kuona vile alirudi nyuma haraka na kuchukua funguo zilizokua mezani kisha alitoka mbio huku akilia. "Kwa nini lakini Mme wNgu asubuhi umenikatisha na saizi tena umekatisha unapenda ninavoteseka hivi au" Chiku alitoa lawama sana usiku ule ila mudi alitoa jibu moja tu. "Hapana siwezi kuendelea tena" Kisha alichukua taulo lake na kutoka tayari kwa kwenda kuoga. "Maisha gani haya sasa jamani cmfaidi Mme wangu kwa nini jamani" Kwa Mara ya kwanza chiku alitoa chozi kwa kutopata haki yake. Mudi akiwa bafuni alijiuliza sana "Hivi hua naota au hua anakuja kweli. Asubuhi nimeona hivihivi na kakimbia saizi tena mambo yamekua hivi au ni wenge langu tu" Wakat anaongea hayo peke yake bafuni kumbe chiku alikua katoka na kasimama karibu na mlango wa bafu. Alisikia kila kitu na kubaki kujiuliza "Anaongelea nini Huyu mbona simuelewi kabisa ngoja lazima kuna kitu hapa" Hakutaka kumuuliza alitaka kuchunguza kimya kimya na kujua nini tatizo. Baada ya mudi kumaliza kuoga walilala zao kila Mtu akigeukia upande wake. Na mkiona mmeanza kulala hivi hata ndoa bado hamjafunga basi jua mda wowote penzi lenu linakufa tu. Licha ya kulia sana siku ambayo mama yao mzazi aliwatoka na kuwaacha peke yao ye na dada yake tu. Pia anitha alilia sana siku ile aliona dhahiri kabisa jinsi mapenzi yanavomtesa. Hakujua afanye nn ili kuepukana na lile alilia karbia usiku mzima mbaka pale usingizi ulipomchukua. Asubuhi hakutaka kabisa kuwahi kwenda kwa dada yake. #storynzuriiplanet_com @roryatv@pammybenny

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 48
Mwandishi: DEUS WA MASTORY "Ase sikuamin mtoto kunipa mambo gafra vile na ni mtam balaa nyie a" at Dar es Salaam, Tanzania - 1829877767422841339

Story: PENZI LA MATESO 48 Mwandishi: DEUS WA MASTORY "Ase sikuamin mtoto kunipa mambo gafra vile na ni mtam balaa nyie acheni tu" Ndivo ilivo kwa wanaume wengi wasiojielewa. Hupenda kuongea mambo yao ya ndani bila kujua hukarbisha roho za tamaa kwa anaowambia. Pale unapomsifia sana mpenzi wako usidhani wote hukuckiliza tu basi hapana wengine hutaka waonje hayo unayowambia. Hivyo hata we usomaye story hii kua makini usipende kuropoka vitu vyako vya ndani. "Kwa hiyo mwanangu jana umesuuza rungu" "Kisuuza tu nimeliosha kabisa Jana yule mtoto pale nimefika simuachi kamwe" Aliongea davis huku wenzie walifurahia story zake tu. "Haya bwana leo umekuja na mpya poa we faidi tu hayo mautamu" Anitha alifika hadi mlangoni na kushika pazia kisha kidogo alilifunua na bahat mbaya mlango ulikua wazi hivyo aliona kila kitu ndani. Aliachia haraka na kujishika kunako sehemu zake nyeti huku mkono mmoja akijiziba mdomon mwake. Ilibaki kidogo tu kupiga kelele ila alijitahidi kujizuia. Taratibu alichungulia tena na kujikuta katoa macho tu jinsi dada yake alivokua kakunjwa vizuri. Taratibu chozi lilianza kumtoka taratibu alijawa na wivu usio na mfano laiti kama asingekua ni dada yake basi angeshaingia na kuvuga kila kitu mle ndani. Alishuhudia mechi ile karibia yote huku mkono mmoja akiwa kajishika sehemu zake za siri. Gafra katika kugeuzana mudi alimuona anitha akichungulia huku akilia. Kule kugongana macho anitha haraka aliachia pazia na kutoka mbio mle ndani. "Bby mbona umefunga breki gafra tuendlee tu bwana mi ndio nimenogewa afu we unaniachia njiani" Aliongea chiku baada ya kuona mmewe kaacha na kua mpole gafra. Hapana mke wangu yaani kichwa kimeanza kuniuma gafra ndio maana nimeamua kuacha nisamehe tu" Mudi aliamua kudanganya ili mkewe asigundue kilichotokea "Pole sana mme wangu ngoja nikupe dWa" "Achana nazo kitatulia tu sawa" Chiku alimuonea huruma sana mudi huku nae akiteseka maana kama ni utamu ulikua ushafika katikati sasa. "Sawa pumzika tu ila daaah ndio nilikua natka kumaliza umenikatisha tu" Aliongea chiku huku akitoka mle nd@ni. #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 47

Mwandishi: DEUS WA MASTORY ....baada ya anitha kufanya jaribio alilotaka kufanya. Aliona akij" at Dar es Salaam, Tanzania - 1829723596610556799

Story: PENZI LA MATESO 47 Mwandishi: DEUS WA MASTORY ....baada ya anitha kufanya jaribio alilotaka kufanya. Aliona akijutia tu kwa kumpa uchi wake Davis na kuapa kupambana na dada yake mbaka ampate pia shemeji yake.Davis alijiongelesha moyoni mwake bila kujua anitha nae alikua anawaza yake. Kilipita kimya kidogo ndipo anitha alipoamua kukata ukimya ule "Asante sana naomba nilale sasa" Davis alikua anitha kamshukuru kwa penzi alilopata laiti kama angejua asante ile alipewa kwa sababu gani cjui angejisikiaje. "Asante mi pia nimefurah nakupenda sana anitha" Ndivo ilivo watu wasiojua kupenda hua na maneno mengi sana mdomoni kidogo tu atakwambia nakupenda nakupenda kila mda nakupenda ila vitendo hakuna. Anitha alitikisa kichwa tu na kupisha davis apite. Kweli asiyejua hajui tu davis aliinuka na kutoka kama katoka chooni. "Kweli huyuuu hajui kitu kabisaaaa mwenzie shemeji hapa alinipiga busu kidogo ndipo akaondoka huyu kasepa tu bila hata kunitakia ucku mwema" Aliongea anitha huku akipanda kitandani kulala hakutaka hata kuoga "Pumbavu kweli na umekula Mara hiyohiyo moja hupat tena" Asubuhi kama kawaida kila Mtu akiwa anawah katika mambo yake. Anitha aliamka na kujiandaa mapema mapema hakutaka hata kuonana na davis. Alifunga mlango wake safari ilianza kuelekea kwa dada yake. Kuwahi kwake ndiko kulikomponza. Alifika na kukuta mlango uko wazi ila dada yske na shemeji yake walionekana kua chumbani bado. Aliingia kams kawaida na kutaka kumuita dada yake ila kabla hajafanya hivyo alishtuka kusikia miguno. Alibaki kaganda kuckiliza vizur miguno ya nini asubuhi yote ile. Kumbe dada ake alikua akipewa raha chumbani. Mwili wa anitha ulisisimka sana na kujikuta kajawa na wivu sana. Uvumilivu ulimshinda taratibu alipiga hatua za kunyata kusogelea mlango wa chumba kile walichokua dada yake na shemeji yake wakipeana mambo. Chuoni davis akiwa na wenzie hakua na story nyingine zaidi ya kucmulia yaliyomkuta Jana ucku "Ase sikuamin mtoto kunipa mambo gafra vile na ni mtam balaa nyie acheni tu" Ndivo ilivo kwa wanaume wengi wasiojielewa. #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 46  Hatasikia kitu wala kuona kitu kingine kwa mtu wake ye atajali ashapenda basi.
Upande wa anit" at Dar es Salaam, Tanzania - 1829219070073775577

Story: PENZI LA MATESO 46 Hatasikia kitu wala kuona kitu kingine kwa mtu wake ye atajali ashapenda basi. Upande wa anitha akiwa kajilaza kitandani kwke akiwa kashasahau kua alimuahidi davis kumfuata ucKu ndio kwanza alikua akiwaza mambo yake "Mmmh daDa anafaidi saizi kwa kua kitanda kimoja na yule mwanaume nataman kama ndio ningekua mimi" Akiwa anawaza hayo mara mlango uligongwa. Ndipo alipoKumbuka kua alimwambia davis amfuate ucku. Aliinuka huku akijifunga khanga yake vizur na kwenda kufungua mlango. Davis aliingia na moja kwa moja alinyoosha kukaa kitandani. "Sasa ngoja nipime je ni kweli wanaume wote wapo sawa? Haiwezekan nimpende mwanaume wa dada yangu" Aliongea anitha kimoyomoyo huku akienda nae kukaa kitandani. Upande mmoja wa khanga aliuacha wazi na kufanya paja lote kua nje na kama davis angelikua na macho ya wizi kama yangu basi angeona hadi tunda maana anitha hakuvaa kitu ndani zaidi ya ile khanga tu. Davis alijikuta kua katika wakat mgumu na kubaki kukuna kichwa tu. "Ongea nakuckiliza davis" Anitha alimshtua na kiume davis aliongea "Sawa nimekuja kama ulivokua umeniambia" Anitha alishusha pumzi mzito kabla ya kusema "Hivi hapa tulivokaa hivi bado hujagundua kitu hebu sogea nikupe jibu lako" Cjui anitha ule ijasiri alitolea wapi cku ile. Davis alijivuta hadi karibu na anitha na kushtuka akikumbatiwa kwa nguvu. Moyo wa davis ulilipuka kwa furaha bila kujua mwenzie yupo kwenye majaribu ndio maana hakutoa tamko la mdomo kua kampenda. Walianza kurupushani palepale davis akiw haamin kama kweli anaelekea kula tunda la anitha. Haraka alimnyanyua anitha na kumlaza vizur kisha alianz kusaula nguo zake. Anitha nae alijichanua akijua mambo anayoenda kufanyiwa ni mazito. Alishangaa davis kamtukia tu na kushika dudu yake moja kwa moja akilazimisha kuingiza. "Haaa weee naumia bwana" Alilalamika anitha ila tayari dudu ilikua ndani na haraka davis alishaanza kupampu. Hakuna raha yoyte aliyopata anitha zaidi ya kuumia tu baadae sana kwa mbali ndio alihisi raha. #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 45  Kumbe kilichokua kinamfanya anitha kushindwa kutoa jibu kwa davis ni kutokana na kunogewa na " at Dar es Salaam, Tanzania - 1829142519143654466

Story: PENZI LA MATESO 45 Kumbe kilichokua kinamfanya anitha kushindwa kutoa jibu kwa davis ni kutokana na kunogewa na penzi la mme wa dada yake. Alijikuta anampenda na kutaman kua nae tena na tena. "Ila hapana cdhani kama kweli n shemeji tu ndio anajua vile huenda ni wanaume wote ngoja nifAnye kitu kupima hili" Alijishauri yeye mwenyewe akiwa chumbani bila kujua mapenzi hua hayajaribiwi ukisema uyajaribu tu imekula kwako utaishia kuumia tu na kujiita huna bahati. Jioni baada ya chakula chiku alikaa na mmewe na kuzungumza mawili matatu. "Hivi Mme wangu mbona sioni chochote kuhusu biashara niliyosema unitaftie ujue nimechoka kukaa nyumbani" "Hapana mke wangu mambo yatakua sawa tu we kua mpole hapa ni mjini inabidi akili itulizwe tukikurupuka tutaishia kupoteza hela zote tu" Aliongea mudi huku akiwa hatulizi macho jambo ambalo laiti chiku angelichukulia umakini angegundua kitu tu. "Sawa ila kua makini kumbuka nakuamin sana ndio maana nimekupa hela zote ujue wewe c tutaishi vipi hapa mjini" Waliongea mengi mudi akimpa maneno ya kumfariji mkewe ili awe na subira ila kiuhalisia tu alionekana kuna jambo anafanya kimya kimya bila mtu yoyote kulitambua. Waliingia chumbani na ili kumzuga vizuri mkewe mudi alitaka mchezo cku ile. Ndio ujue binadam tunaweza badilika mda wowte ule. Mudi wakat anafanya tendo lile na mkewe mawazo yote yalikua kwa anitha alihisi akifanya mapenzi na anitha na c chiku kama alivokua anamuona. Baada ya kumaliza walijilaza hoi kila mtu upande wake "Hivi nimekuaje cku hizi mbona namchukia tu huyu chiku naona hana radha najikuta kumpenda mdogo wake kwa nini nipo hivi jaman aaagh" Aliongea mudi moyoni mwake na kujilaumu kwa kuona moyo wake umeanza kumtoa chiku taratibu na kumuweka anitha. Wakat mudi anawaza hayo chiku nae alikua anawaza yake "Yaani naona mwenye bahati sana kua na huyu mwanaume naridhika na ananipenda sana asante mungu" Ndivo ilivo kwa mtu aliyependa sana toka moyoni basi huona kila kitu anaridhika tu hata afanyiwe kitu kibaya na ampendae ye ataona sawa tu na kusamehe maisha yaendelee. Hatasikia kitu wala kuona kitu kingine kwa mtu wake ye atajali ashapenda basi. #storynzuriiplanet_com

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 44
 Mwandishi: DEUS WA MASTORY ....."achana nae huenda hana hata mtoto ndio maana hajaona uchungu" at Dar es Salaam, Tanzania - 1829123801399236497

Story: PENZI LA MATESO 44 Mwandishi: DEUS WA MASTORY ....."achana nae huenda hana hata mtoto ndio maana hajaona uchungu wowote alivomgonga mtoto yule" Waliendelea kuongea chiku na anitha huku wakiongeza mwendo kuwahi nyumbani. Mungu alikua na mudi maana ye ndiye aliyewah kufika nyumban. Na bahat nyingine chiku hakufunga mlango aliurudishia tu. Hivyo mudi aliingia na kunyoosha moja kwa moja chumbani. Alibadili nguo na zile zilizochanika aliweka kwenye rambo Tayari kwa kutoka. Wakat anatoka ndipo alipokutsna na mkewe pamoja na anitha "Ehee vipi tena mwenzetu mbona nyumban saizi afu bila taarifa mi nikajua ni mwzi ndio kafungua mlango" Aliongea anitha. "Hapana bwana kuna kamzigo nilikua nimesahau nimekuja kuchukua Mara moja Nina haraka kweli mke wangu" Alijitetea mudi huku akifichaficha Rambo aliyokua kashika wasije kushtukia kua ni nguo. "Sawa ndio umeamua kubadili na nguo ucje kua na haraka kama mwenzio huko mbaka kumgonga mtoto wa watu" Mudi kuckia hivyo alishtuka kidogo "Kumgonga mtoto wa watu kivipi tna" Ilibidi chiku amsimulie waliyoyakuta huko njiani bila kujua wanaemwambia ndio mhusika mwenyewe. "Aaah achana nao bwana c unajua wengine kulewa mda wote" Aliongea mudi huku akiondoka zake akiwa haamini kama kweli hajashtukiwa "Hii siku ya Leo ni mbaya sana kwangu duu" Nguo zake zilichanika alitupa na kurudi kijiweni kwake na kuwasimulia wenzie ilivokua. Aliishia kuwavunja mbavu tu. Siku ziliendelea kusogea bila Davis kupata jibu lolote toka kwa anitha. Alichofanya ni kujikaza kiume tena na kumfuata anitha tena. "Naona kimya ndio maana nimekufuata tena" Anitha alicheka kuambiwa hivyo "Hapana c kimya kuna kitu nilikua nafikiria sana ndio maana ukaona jibu sina ila achana nacho njoo ucku kabla cjalala uje uchukue jibu lako" Davis kuckia afuate jibu ucku akajua yes mambo yamejipa hayo tu. Hivyo alianga na kuondoka huku akiwa na furaha kiasi. "Hivi mbona sielew moyo wangu jaman kwa nini nampenda shemeji hivi najitahidi kumsahau siwezi daah" Kumbe kilichokua kinamfanya anitha kushindwa kutoa jibu kwa davis ni kutokana na kunogewa na penzi la mme wa dada yake. #storynzuriiplanet_com