Online Instagram Content ViewerStalkture
  1. Homepage
  2. itaendelea

#itaendelea hashtag

Posts attached with hashtag: #itaendelea

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "*MAMA MAMA YANGU MAMA YAKO*
SEHEMU YA PILI *Huku akilia. “Sasa ndiyo ukamuacha Mama hospitalini, kwani kapatwa na nini? " at Dar es Salaam, Tanzania - 2050820989852740917

*MAMA MAMA YANGU MAMA YAKO* SEHEMU YA PILI *Huku akilia. “Sasa ndiyo ukamuacha Mama hospitalini, kwani kapatwa na nini? Yaani unanaicha na sherehekea kumbe Mama yangu anaumwa!”* *“Alipata ajali ya gari jana, akapoteza damu nyingi, sasa hospitalini kulikua hakuna damu ndiyo nikawa natafuta watu wa kumuongezea, sema uliposema niache kuhangaika naye ndiyo nikaacha sasa sijui hali yake inaendeleaje maana alizidiwa sana.* *Huku akilia mkewe aliingia kwenye gari kwa kasi akimtaka mumewe aendeshe gari kwa haraka, John aliendesha gari taratibu akipitia ofisini kwao kusaini, mkewe alilalamika lakini alimuambia kuwa hawezi acha kusaini kwenda kumuangalia Mama.* *Kwa namna alivyokuwa amechanganyikiwa mkewe alishindwa hata kuendesha gari hivyo ilibidi amsubiri mumewe waondoke wote. Njia nzima mkewe alikua akilia, John akitabasmu tu akisikiliza mziki laini.* *Mkewe alijua Mama yake alishakufa kwa kukosa damu kwani kwa hali aliyoelezewa alijua kuwa hawezi pona. Alifika na kuwakuta ndugu zake wako nnje, aliwasalimia na kuwauliza hali ya Mama walimuambia aingie kumuona.* *Alizidi kuchanganyikiwa akijua Mama yake kashafariki. Alifika na kumkuta Mama yake mzima, alimsalimia na kumuomba msamaha kwa kuchelewa kuja kumuona akisema alikua hajui, Mama yake alimuuliza kwa mshangao.* *“Ulikua hujui wakati Mumeo jana alikuwa hapa, Baba wawatu kahangaika sana mpaka kupata watu wa kuniongezea damu, kasumbuka sana jana, mwanangu hapa umepata mume. Asingekua mumeo ningeshakufa kwani madakitari walisema ningekosa damu ningekufa…”* *Mke wa John alishindwa cha kujibu, hakujua kuwa kumbe John hakuacha kutafuta damu alihakikisha Mama yake yuko salama ndiyo akaondoka.* *“Sikumuambia Mama, Jana alikua anajisikia vibaya, nadhani presha ilikua inamsumbua/ nikasema nisimuambie kwani angeweza kuchanganyikiwa. Asubuhi ndiyo nikamuambia baada ya kuona yuko vizuri” #ITAENDELEA

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "MAMA YANGU MAMA YAKO 
SEHEMU YA KWANZA *John alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, ni" at Dar es Salaam, Tanzania - 2050814493328735339

MAMA YANGU MAMA YAKO SEHEMU YA KWANZA *John alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelazwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea”* *Mkewe akajibu; Kwahiyo Mama yako ndiyo umemuona wa muhimu sana kuliko mimi, yaani mimi nipande Bajaji kisa Mama yako anaumwa, si umuache uje unichukue, unakaa huko kwani wewe Daktari!* *Gari yangu mwenyewe kisha unisumbue sababu ya Mama yako! Umesikia gari ya wagonjwa hiyo, ungetaka kumhudumia Mama yako si ungenunua ya kwako!”* *Alituma meseji lakini hata kabla ya kujibiwa alipiga simu na kuzidi kutukana. John alimuuliza’; Kwahiyo ni muache Mama hapa nije kukuchukua?” Mkewe alimjibu, ndiyo kwani ukimuacha atakufa! Si ushasema yuko hospitalini! Si kuna madaktari huko!* *Nitaendaje kwenye sherehe peke yangu kama vile sina mume!” John alikata simu na baada ya kama nusu saa hivi alikua nyumbani tayari kumchukua mkewe, kwahasira mke alipanda kwenye gari, walienda mpaka kwenye sherehe.* *Sherehe ilianza, huku mke akinywa kwa hasira hakutaka hata kuongea na mumewe. John alikaa kimya akiwa na mawazo mengi kila mara akishikilia simu yake. Katika kipindi chote hicho mkewe hakumuuliza hata hali ya Mama.* *Sherehe iliisha wote wakaingia kwenye gari kurudi nyumbani. Walilala mpaka asubuhi mkewe akiwa hajamuulizia chochote. Asubuhi walijiandaa kwajaili ya kwenda kazini, wakati wanatoka John alimuuliza mke wake.* *“Kwahiyo nikupeleke kazini au unakwenda kwanza kumuangalia Mama yako? Hali yake jana ilikua mbaya na sijui kama alipata watu wa kumuongezea damu?” Mkewe alistuka, jicho limemtoka.* *“Mama yangu! nani kakuambia Mama yangu anaumwa, mimi mbona niliongea jana nayeye alikua mzima kabisa!” Huku akitabasamu John alimjibu.* *“Jamani jana si nilikuambia Mama anaumwa hali mbaya kalazwa hospitalini?”* *“Uliniambia lakini hukuniambia kama ni Mama yangu”* *“Jamani mke wangu sisi si ni mwili mmoja, sasa niliposema Mama nilikua na haja gani ya kusema Mama yangu au wako, kwamaana ninavyojua Mama yangu Mama yako na Mama yako ni Mama Yangu.* *Huku akilia. “Sasa ndiyo ukamuacha Mama hospitalini, kwani kapatwa na nini? #ITAENDELEA

Vennita Mwita (@vennita_mwita) Instagram Profile Photovennita_mwita

Vennita Mwita

 image by Vennita Mwita (@vennita_mwita) with caption : "#Kosa_langu #Hadithi_inaendelea #Sehemu_42 #Mtunzi @vennita_mwita #Vennita_Mwita 
Nilikaa kwa utulivu, nilionesha ujasir" - 2050710601407359635
ReportShareDownload026

@vennita_mwita Nilikaa kwa utulivu, nilionesha ujasiri ambao hata mimi mwenyewe sijui niliupataje! Basi sherehe iliendelea vyema. Ikafika wakati wa bibi harusi kutambulisha mchumba wake, mbwembwe zote zikafanyika, akafika katika meza yetu; na mimi nikasimama kama ndie bwana harusi (utani tuu basi shere ipendeze). Hatimaye kaka akaonekana akaondoka na mchumba wake kwenda mbele, mie na Dulla na ndugu wengine tukabaki. Ilikuwa furaha ukumbini kila mmoja akijitahidi kuonesha furaha yake. Keki ilikatwa, shampeni zilifunguliwa, ndafu ya kondoo ilikuwepo, pombe za asili za watu wa Mbeya. Watu waligonganisha glasi zao. Muziki wa Kinyakyusa na Kisafwa ulipigwa, sherehe ikawa sherehe! Dulla pia akaenda mbele kucheza. Wazo langu na macho yangu kwa bibi yangu tuu. Nae atanikataa? Mjomba je? Kwa kuwa sasa sina dhiki watanipokea? Nina mawazo halafu sina mtu wa kunisaidia au kumsimulia, najisikia vibaya halafu siwezi kusema, siwezi lia wakati wengine wakifurahi! Walipiga nyimbo za Kisukuma, burudani iliendelea! Kisha watu wakaenda kula. Ilipofika zamu yetu, nilinyanyuka pia, nilichukuwa kipande cha kuku na keki, Dulla aliniuliza mbona chakula kidogo, nikamwambia mbeya baridi, mtu hapati njaa. Niliomba wapishi kama kuna chai, nilipata tena ya maziwa, ya moto kabisa, hii ilinifaa kuondoa ubaridi tumboni. Nilifuata kikombe cha pili, nikatembea hadi alipokaa bibi yangu nikampa chai, nilimsalimia aliitikia, akapokea chai alifurahi na kunishukuru anasema alikuwa akisikia baridi hivyo chai ni nzuri kuliko soda! ‘Bibi ukimaliza nyoosha kikombe tuu nitakuletea nyingine’ alicheka akajiniju ‘‘ndaga bhabha’nilitokwa jasho usoni kichwani wakati ndani ya mwili wangu nilihisi baridi! Oh Bibi yangu jamani! Bibi! Wakati wa wosia, wazazi wa binamu waliongea, na baadhi ya rafiki wa familia yao. Mjomba alitambulisha rafiki zake, ambao wengi ni matajiri na viongozi wa uma. Watu walitoa zawadii. Bibi alitowa zawadi ya mbuzi jike, ambae alitoka nae kijijini anakoishi. Huyo mbuzi alikuwa nje muda wote wa shehere na wakati wa zawadi basi kuna kijana mmoja alimleta na bibi akamtoa zawadi.. #Itaendelea..

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload47

SEX TAPE: 20. _ "HIVI PORN HAIKULIPI HADI URUDI SHULE" Mara hii Joyce aliumia moyoni na kutoka darasani. Wanafunzi wakawa wanapiga kelele wengine wakimtetea Joyce wengine wakimcheka na kumsema. Joyce alienda chooni alilia sana na kunawa uso kurudi darasani alichukua vitu vyake na kwenda bwenini kulala akiwa bado analia na hasira, marafiki zake walenda bwenini kumbembeleza na kumtuliza hasira. "We Joyce usiwe mjinga halima namjua kwa umbea usimuache hivi hivi anakuzushia maneno kama hayo yani angeingia anga zangu mbona angeisoma namba Leo" aliongea mmoja wa marafiki zake Joyce. _ ******* _ Asubuhi ya siku iliyofuata wanafunzi wote shule nzima wakawa wanajua ile habari za Joyce na video ya ngono. Joyce alishindwa kabisa kutoka nje alibaki bwenini hata mwalimu wa zamu alipokuja alijitetea kuwa anaumwa. Majira ya saa 3 asubuhi Joyce akiwa bwenini Halima alikuwa amerudi kwa ajili ya kunywa dawa zake wakati anatoka kurudi darsani akakutana na Joyce mlangoni. "Mambo Joy" Halima alimsalimia joy huku akijichekesha, Joyce alikuwa amenuna hakumjibu alikuwa anamuangalia halima kwa jicho Kali sana. Halima akawa anataka kupita mlangoni alishtukia akivutwa kwa nyuma kwa nguvu na Joyce, alifunga mlango. "We vipi mbona tunavutana hivyo utaniumiza bhana" Halima aliongea huku akimungalia Joyce kwa hasira. "Hujui ulicho kifanya" "Nilichokifanya hicho kipi?" "Hujui eeenh! Unataka nikukumbushe si ndio" "Joyce niache" "Joyce niache" aliongea Joyce akibana pua kurudia alichosema halima. "Ngoja nikuoneshe leo" aliongea Joyce huku akimkunja halima na kuanza kumpiga sana kila sehemu, Halima hakuwa na nguvu za kumrudishia Joyce alijaribu kujitetea lakini aliendelea kuchezea kichapo cha mbwa koko, alimpiga sana hadi Halima akapoteza fahamu, ndipo Joyce aliposhtuka kuona halima anaanguka kama mzoga. "Mungu wangu nimeua?" Joyce alitoa macho akimtikisa halima. "Mamaa! mungu wangu Mimi leo" Joyce akawa Analia huku akishika kichwa chake asijue nini chakufanya (Nini hatma ya Joyce usikose kufuatilia muendelezo wake) #itaendelea

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload06

SEX TAPE: 19. Mida ya chakula cha jioni ilifika wanafunzi wote walikusanyika dining hall (bwalo la chakula) kuapata chakula. Halima alikuwa amekaa na kundi lake katika meza yao wanapata chakula, Joyce aliwapita pale na sahani yake ya chakula na kwenda kukaa kwa shoga zake aweze kula, halima alikuwa anamuangalia sana Joyce. "Winnie huyu Dada kahamia lini?" Halima alimtupia swali Winnie ambaye alikuwa busy anakula. "Yupi?" "Yule aliyekaa na kina grace" "Aah! Yule, mgeni shoga angu ana kama wiki mbili hivi tangu ahamie anajishau huyo" "Weeh! Halafu kama namjua sijui nishawahi kumuona wapi" halima alikuwa anajuiliza huku akimuangalia Joyce. Baada ya chakula muda wa kujisomea wakiwa darasani halima alimfata Joyce alipo. "Mambo?" "Poa" Joyce alijibu na kuendelea na mambo yake. "Unaitwa nani?" Halima alihoji, Joyce alimungalia na kuvuta pumzi ndefu. "Joyce" "Me naitwa halima nimekuona pale wakati tunakula sura yako sio ngeni ila sikumbuki nimekuona wapi?" "Nashukuru kukufahamu, sikia Niko busy" "Nikumbushe kwanza tuliwahi kuonana wapi?" "Niache basi! si unaniona nasoma, sikujui, sijawahi kukuona popote" Joyce alijibu kwa ukali akimkazia macho halima. Halima akashtuka na kufumba mdomo wake kwa mkono wake akitoa macho kumuangalia Joyce. " vipi mbona unashtuka umeona nini?" Joyce alihoji baada ya kuona mshtuko wa halima. Halima aliondoka pale bila kuaga na kurudi katika dawati lake na kuendelea kusoma huku akipiga soga na shoga zake. Joyce muda wote alikuwa makini akimuangalia Halima. Halima akawakusanya shoga zake akawa anawapa umbea wa mtandaoni, kundi zima waliomzunguka halima wakawa wanageuka kumuangalia Joyce wengine wakicheka huku waki nong'onezana. Winnie aliinuka na kwenda hadi ubaoni akachukua chaki na kuandika "KUMBE PORN STAR NDIO MAANA UNARINGA" lile kundi la halima wakawa wanacheka wakimuangalia Joyce wengine wakawa hawaelewi wakawa wanangalia na wengine kusogea kwa halima kusikiliza ubuyu. Joyce alijifanya kama hajui kinachoendelea alilisoma lile neno na kuendelea kujisomea. Winnie akaenda tena mbele kuandika ubaoni "KWANI KUCHEZA PORN HAKULIPI HADI URUDI SHULE" (Sijui Joyce atachukua uamuzi gani) #itaendelea

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload06

SEX TAPE: 18. Movie waliyoweka ilikuwa na sehemeu nyingi za mapenzi kupelekea watazamaji kupata mhemuko na kushindwa kujizuia kufanya kama wanachokiona katika movie na kiubaridi cha moshi kilikuwa kinashawishi sana kupeana joto( kufanya mapenzi). Michael hakulaza damu kutimiza ile dhamira yake ya kutaka kulala na Joyce, na wala hakuwa na kipingamizi walipeana joto hadi asubuhi. - ****** - Asubuhi waliamka na kujiandaana Michael alimsindikiza Joyce hadi kituo cha basi, pale walichukua bajaji ambayo iliwapeleka hadi shuleni, "Aaaah! Joyce unaondokaje hata namba yangu ya simu hujachukua" aliongea Michael baada ya kuona Joyce anaingia getini. "Aaah! Nilisahau Michael niandike hapa" alitoa karatasi na pen Joyce na kumkabidhi Michael akaandika namba yake wakaagana kwa kupeana mikono na Michael alipanda ile bajaji kugeuza nayo. Joyce alipokelewa na mlinzi na kupelekwa hadi ofisi za shule, alipokelewa na kufanya malipo yote aliitwa mwanafunzi mmoja ili ampeleke Joyce katika bweni lao na darasa atakalokuwa anasoma. _ **************** _ Joyce aliishi kwa amani pale shuleni kipindi cha mwanzo kwasababu hawakuwa wanajua juu ya video yake ya ngono, alipata marafiki ambao walimpokea vizuri na kushirikiana nae katika kila kitu. Pia alipata maadui ambao wengi wao walikuwa wakimuona Joyce anaringa na kujishaua hivyo hawakuacha kumsema kila wapatapo upenyo. - ******* - Baada ya wiki mbili tangu ahamie pale shuleni, alirudi mwanafunzi mmoja ambaye alienda nyumbani kwa muda wa zaidi ya mwezi alikuwa anaumwa sana, alivyofika wanafunzi wenzake walifurahi na kumpokea kwa shangwe hadi bwenini. "Aaaaah! Halima umerudi pole shoga angu nilikumisi we acha tu" aliongea Winnie akimkumbatia halima kwa furaha. "Yani kijiwe kilidoda bora umerudi utupe ubuyu wa uko Instagram mana hapa kama tupo jela shoga angu" alijazia mazungumzo mwanafunzi mwengine aliyekuwa karibu nao. "Yani Nina ubuyu kama wotee! Sijui nianzie wapi mnifate mida yetu ile baada ya prepo niwape" aliongea halima akikaa katika kitanda katika bweni lao. #itaendelea

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload615

SEX TAPE: 17. Safari ilikuwa ndefu sana njiani Joyce na Michael waliweza kubalishana mawazo na kufanya safari kuwa fupi kila mmoja alifurahia uwepo wa mwenzake katika safari ile walifika moshi majira kama ya saa 12. "Kwaiyo vipi Joyce utachukua guest hapa moshi au utaenda uko shuleni?" Aliuliza Michael. "Hata sielewi yani" "Sikia bora ulale hapa then kesho unaenda kuripoti shule ntakusindikiza hadi uko" Waliondoka pale stendi na kuelekea sehemu moja ambayo walielekezwa kuna guest. "Joyce nisubiri hapa nikaangalie kama vyumba vipo" aliongea Michael na kuelekea mapokezi, Michael alifika mapokezi na kuongea na Dada aliyekuwepo hapo mapokezi na karudi kwa Joyce. "Daaah asa tunafanyaje mana hapa anasema chumba kimebaki kimoja" alizungumza Michael akimuangalia Joyce aliyekuwa amechoka kwa safari. "Michael me nishachoka yani hapa nataka nipumzike kama vipi tuchukue hicho kilichabaki" "Khaaa! Tutalala vipi?" "Tutalala hata mzungu wa nne" "Yesss" Michael alijisemea kwa sauti ya chini kuashiria kuwa amefanikisha mipango wake, sio kwamba vyumba vilikuwa vimeisha kweli la hasha ilikuwa ni njia ya kutaka kuwa na Joyce usiku huo. Walibeba mizigo yao hadi chumbani Walivyofika chumbani Michael alikuwa wa kwanza kwenda kuoga alipotoka alimkuta Joyce yupo na Taulo tu akijiandaa kwenda kuoga wakapisha mlangoni na kumfanya Michael ageuze shingo kuangalia neema za mungu alizomjalia Joyce, Michael aliva bukta na kwenda nje kununua chakula. . . Aliporudi alimkuta Joyce ameshatoka kuoga bado yupo na taulo, michael alikuwa amenunua sahani moja chips na nyingine wali waliweka katika meza iliyokuwa katika chumba na kuanza kula uku wakipiga story za hapa na pale. Baada ya kumaliza kula na kunawa mikono walikuwa wamekaa kitandani, Michael akatoa laptop yake akaweka movie "Chagua movie gani tuweke drama, comedy, romance au action?" Michael alimtupia swali Joyce huku akiendelea kutafuta movie ya kuweka. "Aaah weka yoyote ila sio za ngumi" "Basi ngoja nikuweke hii inaitwa addicted nadhani utaipenda" aliongea Michael na kuweka movie kuangalia wakiwa wamelala kitandani. Hii movie waliyoweka ilikuwa na sehemu nyingi za mapenzi. #itaendelea

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload011

SEX TAPE: 16. - ********* . - "Baba Joy me sikuelewi wiki ya 3 hii nakuambia swala la mtoto kumpeleka shule hinijibu" aliongea mama joy kwa ukali kidogo. "Shule ya nini? Sina muda huo nilimpeleka shule akaenda kufanya mapenzi bora pesa ya ada ningekunywa bia kuliko kuzitupa kumsomesha huyo" aliongea baba Joyce akijigeuza upande wa pili wa kitanda. "Nasemajee wewe kama hutaki maadamu Mimi mama yake nipo hai Joyce atasoma ntajua kama ntauza mchicha au maandazi mwanangu asome" alizungumza mama Joy kwa hisia sana "Fine hukatazwi ruksaa pesa si zako msomeshe ila Mimi msinihusishe" "Lakini mume wangu Joyce ni mwanetu hatutakiwi kumsusa unadhani tunamuandalia maisha gani kama hatosoma? Umebaki mwaka amalize form six tumalizie basi uko mbele atajua mwenyewe " Aliongea mama joy kwa sauti ya upole akimbembeleza mume wake akubali kurudisha moyo kwa Joy. "Ntafikilia ntakupa jibu" alijibu baba joy na kujifunika shuka kulala. - - ******** - Baada ya wiki mbili Joyce alikuwa amepata shule moja ya bweni ya wasichana tupu ipo moshi Kilimanjaro. . Siku ya safari baba yake alimpeleka hadi ubungo na kumuacha, Joyce alikuwa amevalia suruali ya jinsi imembana na kuchora umbo lake matata juu alivaa t-shirts na miwan mikubwa na kofia ili kuzuia asijulikane kirahisi kutokana kwa sasa Joyce amekuwa maarufu sana mtandaoni na hata akipita baadhi ya sehemu alikuwa akinyooshewa kidole ile hali ilimkera sana Joyce hivyo alikuwa akitoka anavaa mavazi ambayo sio rahisi kumtambua. . . Joyce aliingia katika basi na kukaa siti ya dirishani alitoa kitabu chake cha novel na kuanza kusoma. "Mambo vipi sister" alisalimia kijana mmoja mtanashati huku akikaa siti ya pembeni na Joyce. "Poa" alijibu Joyce na kuendelea kusoma kitabu chake. "Sorry naitwa Michael si vibaya tukafahamiana unajua safari ndefu dar hadi moshi au we unaishia kati?" "Naitwa Joyce and naenda moshi it's my first time sijui we ndio kwenu uko?" "Aah no sio kwetu nasoma chuo uko kwaiyo usijali nitakuwa mwenyeji wako" #itaendelea

Imman Idris (@hadithi_zone) Instagram Profile Photohadithi_zone

Imman Idris

ReportShareDownload011

SEX TAPE: 13. "Mume wangu angalia mbele unagongaa!" aliongea Mama Joyce kwa sauti kubwa baada ya kuona gari yao inaenda kugonga gari ingine kwa kuwa baba Joy akili yake na mawazo yake hayakuwa sawa, lakini alijitahidi kuliweka sawa gari na kunusurika kupata ajali na kufika nyumbani salama majira kama saa 7 kasoro. - ******* - Asubuhi ya siku iliyofuata baba Joyce alikuwa wa kwanza kuamka na kufanya mambo yake. "Ba joy kwaiyo huko shuleni unaniachia Mimi niende?" Aliuliza mama joy baada ya kumuona mume wake akijiandaa kwenda kazini. "Kwaiyo unataka niende shule kufanya nini nenda mwenyewe mtajua mnayamaliza vipi" alijibu baba joy kwa kutojali. "We si ndio baba yake kwaiyo unaniona Mimi mzima sanaa yani nishapona Leo nianze kaungaika na mambo mengine" alongea mama joy na kwenda kukaa kitandani, ile kauli ilimuingia baba Joy alimpiga jicho mke wake na kuvua tai na viatu kwenda seblen kukaa. - ********* - Joyce akiwa na baba yake wanakatiza katika korido za madarasa wanafunzi nao wa shule hiyo wote walikuwa wamejazana madirishani na wengine wakisukumana kugombea kumwangalia Joyce. "Ndio huyu" "Weeh ndio mwenyewe" zilikuwa ni kelele na fujo kila mmoja akitaka kuona nje baba Joyce alihisi fedheha sana lile jambo. "Unaona umekuwa maaarufu Leo si ndio ulivyokuwa una taka" alimsemesha baba Joy wakiwa wanaelekea ofisi ya mwalimu mkuu, walikaribishwa na secretary na kuketi katika viti vilivyopo hapo. "Oooh mzazi karibu sana habari za asubuhi" alikuwa ni mkuu wa shule akimsalimia baba Joyce kwa kumpa mkono. "Kwema tu mwalimu sijui we we na majukumu" "kama unavyotuona hapa tunawajibika karibuni ofisini kwangu" aliongea mkuu wa shule akimuonesha mlango baba Joyce. "Huyu ndio mwanao?" "Yah mwanangu" "Binti tusubiri hapa tutakwita, madam Amina naomba niitie walimu wa taaruma na wanidhamu wote waje ofisini kwangu" aliongea mkuu wa shule na kuingia ofisini kwake na baba Joyce. Joyce alibaki pale kwenye kiti akiwa anang'ata kucha akiwa kaegemea tendegu la kiti. Punde Eric aliweza kufika pale akiwa na mdada mtu mzima kama miaka 35 hivi ambaye alikuwa amejipaka makeup hadi anatisha. "Mambo" alisimia yule Dada akimuangalia Joyce. #itaendelea

Jabiri Omari Makame (@jabiri_makame) Instagram Profile Photojabiri_makame

Jabiri Omari Makame

 image by Jabiri Omari Makame (@jabiri_makame) with caption : "SEHEMU YA 2: KWA NINI NI MUHIMU KWA KIONGOZI KUKUZA NA KUELNDELEZA VIONGOZI WENGINE........
.
Machi 16 Mwaka huu niliand" - 2048444506298232864
ReportShareDownload7211

SEHEMU YA 2: KWA NINI NI MUHIMU KWA KIONGOZI KUKUZA NA KUELNDELEZA VIONGOZI WENGINE........ . Machi 16 Mwaka huu niliandika kuhusu dhana ya viongozi kukuza na kuendeleza viongozi wengine ikiwa kama nyenzo ya kumsaidia kiongozi kukuza ushawishi wake. Sasa, endelea kujifunza kwa nini ni muhimu na ni lazima kwa kila kiongozi kutimiza wajibu huu wa msingi....... . Ukweli ni kwamba Mafanikio ya taasisi yeyote ile inategemea sana rasilimali za taasisi hiyo. Rasirimali hizo ni kama vile fedha, teknolojia, majengo, vifaa mbalimbali vya kutendea kazi na rasirimali watu. Miongoni mwa rasilimali hizi za taasisi, rasilimali watu ni rasilimali mkakati (strategic resources) ambao hubeba hatma na dhamana ya taasisi. . Taasisi yenye rasirimali watu wenye uwezo, na ambao thamani yao inatambulika na kupewa nafasi na kiongozi, daima hustawi na kukidhi malengo ya taasisi. Taasisi inaweza kuwa na ukwasi, ikawa na majengo na machine za kisasa lakini ikikosa rasirimali watu wenye uwezo, haiwezi kufika kokote. . Hivyo, kazi moja wapo ya kiongozi yeyote wa taasisi ni kujenga uwezo wa rasirimali watu, ni kutengeneza viongozi wanaomzunguka. Wataalamu wa Mambo ya Uongozi na Menejimenti wanaeleza umuhimu wa kujenga uwezo wa wasaidizi/kukuza viongozi wengine ni kwamba , mosi, mafanikio ya taasisi yanategemea ubora na umahili wa rasirimali watu. Ukijenga uwezo wa kiongozi, unajenga uwezo wa taasisi. . Taasisi, kampuni au nchi haiwezi kuendelea kama hawajaandaliwa viongozi wa kuiendeleza. Unapokuwa mkuu wa taasisi, mafanikio ya taasisi yako yanategemea uwezo wa wasaidizi wako. Jukumu lako kama kiongozi ni kujenga timu bora ambayo itawezesha kukuza taasisi. Kila jambo katika taasisi linafanikiwa au halifanikiwi kutokana na uongozi. . Pili, viongozi husaidia kubeba mzigo (Potential leaders help to carry the load). Kama ukizungukwa na viongozi wenzako wanaifanya kazi yako kama kiongozi kuwa rahisi kwa sababu, wanakuwa washauri wazuri kwako na wana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi. Pia viongozi watakuambia kile unachohitaji kusikia, lakini wafuasi watakuambia kile unachotaka kusikia. . #Itaendelea............. DevelopingLeaders